Heaven Bahati alamba dili nono wiki tu baada ya ndugu yake

 

Image result for heaven bahati

Heaven Bahati, binti wa msanii wa injili Bahati na Diana Marua amepata dili nono kwa House of Tots Ke kuonekana kwenye mabango yao.

House of Tots Ke inashughulikia mavazi ya hivi karibuni na ya kupendeza zaidi na vifaa kwa mtoto wa kisasa.

Diana alishiriki kwenye Instagram yake kumpongeza binti yake juu ya jukumu lake jipya na kumshukuru Mungu.

Image result for heaven bahati

Who will I be seeing on Billboards? 💃 Congratulations my baby for the big win 🎉🎉🎉 You’ve made Mummy and Daddy soooo proud ❤ Keep Winning my Love, May your cup always overflow… it’s just the beginning, Oh Thank You God 😭🙏

(Ni nani nitayemwona kwenye mabango? Hongera sana mtoto wangu kwa ushindi. Umefanya mama na baba yako wajivuni. Endelea kushinda mpenzi wangu, kikombe chako daima kijae…. ni mwanzo tu, Oh Shukran mwenyezi Mungu)

Dili hiyo inamfanya Heaven ajiunge na familia yake ambao wote sasa wanawakilisha kampuni tofauti kwa dili mbalimbali.

Majesty Bahati ambaye alizaliwa hivi majuzi pia ni balozi wa hospitali ambako alizaliwa huku Bahati ni balozi wa mafuta ya Zoe.

Do you have any information that you would like Daily Buzz to publish or highlight? Get to us on info@dailybuzz.co.ke

Sharing is caring:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *